VOA News: Top Stories Fri, 20 Nov 2009 20:34:21 -0400 http://www.voanews.com/ Up to the minute news from Voice of America EAC yakubaliana juu ya soko la pamoja Fri, 20 Nov 2009 20:34:21 +0200 Fri, 20 Nov 2009 20:34:21 -0400 Fri, 20 Nov 2009 20:34:21 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-20-voa3.cfm?rss=topstories Marais wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki wanaokutana Arusha, Tanzania kuadhimisha miaka 10 ya umoja huo wametia saini mkataba wa soko la pamoja la nchi hizo. "www.voanews.com/swahili/2009-11-20-voa3.cfm?RSS=TopStories" Obama akamilisha ziara yake ya Asia Thu, 19 Nov 2009 05:46:22 +0200 Thu, 19 Nov 2009 05:46:22 -0400 Thu, 19 Nov 2009 05:46:22 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-19-voa1.cfm?rss=topstories Rais Barack Obama amekamilisha ziara yake ya mataifa manne ya Asia kwa mazungumzo na kiongozi wa Korea ya Kusini Lee Myung-bak. viongozi hao wamethibitisha nia ya kuhakikisha Korea Kaskazini inakomesha mpango wake wa nuklia. "www.voanews.com/swahili/2009-11-19-voa1.cfm?RSS=TopStories" Marekani yazungumzia ugaidi Afrika Tue, 17 Nov 2009 21:41:33 +0200 Tue, 17 Nov 2009 21:41:33 -0400 Tue, 17 Nov 2009 21:41:33 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa4.cfm?rss=topstories Marekani inasema inaangalia kwa makini vitisho kutoka al-Qaida tawi la Afrika kaskazini kwenye eneo la jangwa la Sahara barani Afrika. "www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa4.cfm?RSS=TopStories" Hatari ya gesi katika Ziwa Kivu Wed, 18 Nov 2009 20:39:13 +0200 Wed, 18 Nov 2009 20:39:13 -0400 Wed, 18 Nov 2009 20:39:13 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-18-voa2.cfm?rss=topstories Hali imekuwa ya wasi wasi miongoni mwa raia huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC, tangu itolewe ripoti kuhusu uwezekano wa kutokea mlipuko wa gesi ya Carbon Dioxide na Methane katika jimbo la Kivu kaskazini nchini humo. "www.voanews.com/swahili/2009-11-18-voa2.cfm?RSS=TopStories" Kielelezo cha Katiba Kenya Kujadiliwa Tue, 17 Nov 2009 14:09:54 +0200 Tue, 17 Nov 2009 14:09:54 -0400 Tue, 17 Nov 2009 14:09:54 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa3.cfm?rss=topstories Rasimu ya katiba mpya ya Kenya imechapishwa rasmi leo baada ya kamati ya wataalamu wa sheria kutoka nchini Kenya, Zambia, Afrika kusini na Uganda kuwasilisha kielelezo cha katiba mpya. "www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa3.cfm?RSS=TopStories" Marais Obama na Hu wajadili uchumi kati ya Marekani na China Tue, 17 Nov 2009 04:08:22 +0200 Tue, 17 Nov 2009 04:08:22 -0400 Tue, 17 Nov 2009 04:08:22 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa1.cfm?rss=topstories Marais wa Marekani na China wakutana Jumanne kwa duru ya pili ya mazungumzo juu ya masuala magumu ya uchumi na mengine. "www.voanews.com/swahili/2009-11-17-voa1.cfm?RSS=TopStories" Umoja wa Mataifa waahidi kuteketeza baa la njaa duniani Mon, 16 Nov 2009 18:53:17 +0200 Mon, 16 Nov 2009 18:53:17 -0400 Mon, 16 Nov 2009 18:53:17 +0200 http://www.voanews.com/swahili/food-security.cfm?rss=topstories Umoja wa mataifa umeanza mkutano wa siku tatu juu ya usalama wa chakula duniani. "www.voanews.com/swahili/Food-Security.cfm?RSS=TopStories" Rais Obama awasili China kuimarisha uhusiano Mon, 16 Nov 2009 04:22:51 +0200 Mon, 16 Nov 2009 04:22:51 -0400 Mon, 16 Nov 2009 04:22:51 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-16-voa2.cfm?rss=topstories Rais Barack Obama aliwasili Shanghai Jumapili akiwa na nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na China. Mazungumzo yatazingatia uchumi na mabadiliko ya hali ya hewa. "www.voanews.com/swahili/2009-11-16-voa2.cfm?RSS=TopStories" Wanawake watoa wito wa mabadiliko Zanzibar Mon, 16 Nov 2009 03:48:06 +0200 Mon, 16 Nov 2009 03:48:06 -0400 Mon, 16 Nov 2009 03:48:06 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-16-voa1.cfm?rss=topstories Umoja wa wanawake wa chama cha upinzani CUF waliandamana Unguja kutoa mwito kwa viongozi wa kisiasa kuleta mabadiliko ya kweli visiwani humo. "www.voanews.com/swahili/2009-11-16-voa1.cfm?RSS=TopStories" Mafuriko yaongezeka Tanzania Fri, 13 Nov 2009 18:58:16 +0200 Fri, 13 Nov 2009 18:58:16 -0400 Fri, 13 Nov 2009 18:58:16 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-13-voa7.cfm?rss=topstories Mvua kubwa zilizonyesha siku tofauti katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania zimesababisha maafa makubwa yakiwemo vifo na uharibifu wa nyumba. "www.voanews.com/swahili/2009-11-13-voa7.cfm?RSS=TopStories" Habari kuu za wiki Tanzania na Rwanda Fri, 13 Nov 2009 18:10:39 +0200 Fri, 13 Nov 2009 18:10:39 -0400 Fri, 13 Nov 2009 18:10:39 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-13-voa2.cfm?rss=topstories Wiki hii Tanzania ilikumbwa na mvua kubwa zilizosababisha maafa na nchini Rwanda mkutano wa tano wa kitaifa ulizungumzia manyanyaso ya watoto. "www.voanews.com/swahili/2009-11-13-voa2.cfm?RSS=TopStories" Chama cha Bemba DRC chaelekea kugawanyika Wed, 11 Nov 2009 20:13:18 +0200 Wed, 11 Nov 2009 20:13:18 -0400 Wed, 11 Nov 2009 20:13:18 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-11-voa3.cfm?rss=topstories Chama kikuu cha upinzani nchini DRC kinaelekea kusambaratika kufuatia tofauti zilizopo baina ya viongozi wake. "www.voanews.com/swahili/2009-11-11-voa3.cfm?RSS=TopStories" Waliofariki na maporomoko Tanzania wazikwa Wed, 11 Nov 2009 19:56:09 +0200 Wed, 11 Nov 2009 19:56:09 -0400 Wed, 11 Nov 2009 19:56:09 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-11-voa2.cfm?rss=topstories Maiti za watu 19 zilizopatikana kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizotokea katika kijiji cha Goha, huko Same nchini Tanzania wamezikwa Alhamisi. "www.voanews.com/swahili/2009-11-11-voa2.cfm?RSS=TopStories" Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni Tue, 10 Nov 2009 20:42:04 +0200 Tue, 10 Nov 2009 20:42:04 -0400 Tue, 10 Nov 2009 20:42:04 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-10-voa4.cfm?rss=topstories Jopo la wataalamu nchini Kenya wanaotathimini marekebisho ya katiba nchini humo, tayari wameandika kielelezo ambacho kinatarajiwa kuchapishwa na baadae kujadiliwa katika juhudi za kuandika katiba mpya ya Kenya. "www.voanews.com/swahili/2009-11-10-voa4.cfm?RSS=TopStories" WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya Tue, 10 Nov 2009 04:54:31 +0200 Tue, 10 Nov 2009 04:54:31 -0400 Tue, 10 Nov 2009 04:54:31 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-10-voa1.cfm?rss=topstories Shirika la Afya Duniani WHO, limetoa mwito wa kutaka hatua za dharura zichukuliwe kuimarisha afya na maisha ya wasichana na wanawake mnamo uhai. Mwito huo ulitolewa wakati wa kuzindua ripoti mpya ya WHO. "www.voanews.com/swahili/2009-11-10-voa1.cfm?RSS=TopStories" Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin Mon, 09 Nov 2009 05:19:09 +0200 Mon, 09 Nov 2009 05:19:09 -0400 Mon, 09 Nov 2009 05:19:09 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-09-voa1.cfm?rss=topstories Mji mkuu wa Ujerumani hii leo unasherekea miaka 20 tangu kuangushwa kwa ukuta ulokua alama kuu ya vita baridi. Kiasi ya wageni laki moja wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hizo zitakazotoa nafasi poia ya mazungumzo ya kisiasa. "www.voanews.com/swahili/2009-11-09-voa1.cfm?RSS=TopStories" Ocampo ataomba uchunguzi kuhusu ghasia Kenya Thu, 05 Nov 2009 20:51:21 +0200 Thu, 05 Nov 2009 20:51:21 -0400 Thu, 05 Nov 2009 20:51:21 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-05-voa3.cfm?rss=topstories Wananchi wa Kenya wamepokea kwa hisia tofauti matamshi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya uhalifu-ICC, Luis Moreno-Ocampo. "www.voanews.com/swahili/2009-11-05-voa3.cfm?RSS=TopStories" Wakimbizi wa Congo warudi nyumbani Wed, 04 Nov 2009 20:54:54 +0200 Wed, 04 Nov 2009 20:54:54 -0400 Wed, 04 Nov 2009 20:54:54 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-04-voa3.cfm?rss=topstories Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa linasema zaidi ya wakimbizi mia tano wa DRC wamerudi nyumbani siku ya Jumatano kutoka Zambia. "www.voanews.com/swahili/2009-11-04-voa3.cfm?RSS=TopStories" Chanjo ya Malaria Yakaribia Tue, 03 Nov 2009 20:41:02 +0200 Tue, 03 Nov 2009 20:41:02 -0400 Tue, 03 Nov 2009 20:41:02 +0200 http://www.voanews.com/swahili/2009-11-03-voa3.cfm?rss=topstories Kampuni moja ya kutengeneza madawa ya Uingereza inasema chanjo dhidi ya malaria inaweza kuwa tayari kwa matumizi katika muda wa miaka mitatu mpaka mitano. "www.voanews.com/swahili/2009-11-03-voa3.cfm?RSS=TopStories" Hakuna anayestahili tuzo la Mo Ibrahim 2009 +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Wakfu unaotoa tuzo la dola milioni 5 kwa utawala bora barani Afrika, unasema haujampata kiongozi yeyote wa kumtunuku zawadi hiyo mwaka huu. "www.voanews.com?RSS=TopStories" Afrika Mashariki yazidi kukumbwa na njaa +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa linalohusiana na utafiti wa kilimo na chakula duniani, zinaonesha idadi ya mataifa yanayokabiliwa na upungufu wa chakula katika mataifa ya Afrika kusini mwa jangwa la sahara inazidi kuongezeka. "www.voanews.com?RSS=TopStories" Dunia yamkumbuka Mwalimu +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Miaka 10 baada ya kufariki, wachambuzi, wanasiasa na wananchi wanatafakari juu ya mchango wa muasisi, Baba wa Taifa wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere. "www.voanews.com?RSS=TopStories" Obama apokea kwa mshangao na unyenyekevu tunzo ya amani +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Mwenyekiti wa kamati ya Nobel Thorbjorn Jagland anasema, Bw Obama amewapa matumaini watu wa dunia kwa maisha bora ya baadae. "www.voanews.com?RSS=TopStories" Safari ya Obama Kuelekea White House +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Safari ya Barack Obama kuelekea White House ilikuwa ngumu, ndefu na yenye machungu mengi kwake, wamarekani weusi walioletwa Marekani kwa nguvu kama watumwa na wazungu ambao mwaka jana walilazimika kumpigia kura Obama. "www.voanews.com?RSS=TopStories" Ushindi wa Kihistoria wa Barack Obama +0200 Wed, 18 Jul 1900 00:00:00 -0400 +0200 http://www.voanews.com?rss=topstories Wamarekani weusi na hata wahamiaji kutoka Afrika sasa wanatembea vifua mbele kufuatia ushindi wa seneta Barack Obama katika uchaguzi wa rais Marekani "www.voanews.com?RSS=TopStories"