Je Nifanyeje

Je Nifanyeje

September 09, 2012 5:00 PM
Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.

Loading
Je Nifanyeje
12:00:00 / -:--:--
⎚ Share
  • Listen
  • Download

My Playlist

  • Tweet