• Maandamano kupinga uchimbaji gesi Mtwara
  • Magari ya serikali yaliyochomwa moto Mtwara
  • Bango kuhusiana na mzozo wa gesi Mtwara
  • Nyumba yawaka moto Mtwara kufuatia maandamano dhidi ya kusafirisha gesi kutioka Mtwara hadi Dar es Salaam
  • Nyumba yawaka moto Mtwara
  • Polisi wakamata waandamanaji walosababisha vurugu Mtwara
  • Nyumba ya mbunge iliyovunjwa na waandamanaji Mtwara

  Mzozo wa gesi Mtwara Tanzania

  Published January 29, 2013

  Kwa takriban siku nne mfululizo wakazi wa Mtwara wamekuwa wakiandamana na kuchomo mota mali ya wakuu wa serikali wanaohusika na mpango wa kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam