Published February 11, 2013
Papa Benedict ametangaza atajiuzulu kutoka uwongozi wa Kanisa la Katholiki hapo Februari 28, kutokana na hali yake ya afya. .