Published March 19, 2013
Papa Francis atowa wito kwa viongozi wote duniani kuwalinda watu na mazingira, na kuepukana na chuki, wivu na kujivuna alipoapishwa rasmi Jumanne mbele ya waumini 150 000, kwenye uwanja wa Saint Peter huko Vatican.