• Mchezaji wa timu ya Lekhwaiya, Dame Traore (kulia) apigania mpira na mchezaji wa  Al-Sadd, Younes Mahmoud wakati wa finali ya kombe la Crown Prince mjini Doha May 4, 2013.
  • Robert Snodgrass, mchezaji wa Norwich City  (juu) na Joe Bennet wa Aston Villa anarukia mpira ulopigwa krosi wakati wa mchuano wa Premier League Uingereza katika uwanja wa Carrow Road, Norwich Mei 4, 2013.
  •  Cristian Ledesma (kushoto) mchezaji wa timu ya River Plate agon'gana na Pablo Ledesma wa Boca Junior walipokuwa wanakimbilia mpira katika mechi ya ligi ya kwanza ya Argentine mjini Buenos Aires Mei 5, 2013.
  • Golikipa wa Borussia Dortmund  Roman Weidenfeller (kushoto) aokowa mpira mbele ya Cristiano Ronaldo (Kulia) wa Real Madrid wakati wa mchuano wao wa nusu finali mjini Madrid April 30, 2013.
  • Andy Carroll wa West Ham United akipiga mpira kichwa wakati wa mchuano wao katika Premier League ya Uingereza dhidi ya Newcastle United katika uwanja wa The Boleyn mjini London Mei 4, 2013.
  • Jermain Defoe (kushoto) Tottenham Hotspur akipigania mpira na  Steven Davis wa Southamptonfor wakati wa mchuano wa Premier League huko White Hart Lane,  London Mei 4, 2013.
  • Eder Balanta wa River Plate (mbele) Lautaro Acosta wa Boca Junior wakipigania mpira wakati wa mchuano wa ligi ya kwanza ya Argentine mjini Buenos Aires Mei 5, 2013.
  • Mchezaji wa Bayern Munich, Thomas Mueller (kati) anasherehekea pamoja na wenzake baada ya kuilaza Barcelona katika nucu finali ya kombe la Mabingwa katika uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona Mei 1, 2013.
  • Juventus' Kwadwo Asamoah wa Juventus akimenyana na Egidio Arevalo Rios (top) Palermo wakati wa michuano ya ligi ya Utaliana, mjini  Turin Mei  5, 2013.
  • Meneja wa mashuhuri na wa muda mrefu wa Manchester United Alex Ferguson akisherehekea ushindi wake wa mwisho kabla ya kustahafu pale timu yake imenyakua nafasi ya kwanza katika Premier League ya Uingereza baada ya kuishinda  Aston Villa katika uwanja wa Old Trafford, Manchester, Aprili  22, 2013.

  Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013

  Published May 10, 2013

  Alex Ferguson meneja wa Manchester United astahafu


  This forum has been closed.
  Comments
       
  There are no comments in this forum. Be first and add one