• Rais Obama na Rais Kikwete wa Tanzanian wakipunga mkono wakati wanaingia Ikulu, Dar es Salaam.
  • Watu wakishangilia msafara wa Rais Obama.
  • Rais Obama akikagua gwaride alipowasili Dar Es Salaam, Tanzania.
  • Rais Obama akitoa mkono kwa wanawake kwenye msitari wa kumkaribisha alipowasili Dar es Salaam.
  • Rais Obama na mkewe Michelle Obama walipowasili Dar es Salaam.
  • Mwanamama akiwa amevalia sketi yenye picha ya Rais Obama akiwa na bendera ya Marekani.
  • Rais Obama, akifuatiwa na mkewe, anacheza ngoma katika sherehe za kuwasili kwake.
  • Moja ya kanga zimevaliwa na watu kumkaribisha Rais Obama mjini Dar es Salaam.

Rais Obama katika ziara ya Tanzania

Published July 01, 2013

Maelfu ya watu walimkaribisha rais Barack Obama Tanzania alipowalisili mjini Dar es salaam kwa bendera na mabango yenye picha yake katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika.


This forum has been closed.
Comments
     
There are no comments in this forum. Be first and add one