• Mmjoa wa wanachama wa Tuareg akicheza katika kampeni za mkutano wa mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mji wa Timbuktu Julai 24 , 2013.
  • Mpiga kura akitafuta jina lake katika orodha ya wapiga kura kwenye kituo cha Bamako, Mali, Julai 23, 2013.
  • Mchuuzi akipita katika duka akiwa na picha zilizopambwa matukio ya uchaguzi ya kuunga mkono mgombea Dramane Dembele katika soko katikati ya Timbuktu.
  • Issa Djire mfuasi wa mgombea urais Dramane Dembele akiwa amesimama karibu na picha ya Dembele nje ya nyumba yake mjini Bamako , Mali.
  • Kabila la wawindaji walioko Mali wanaoitwa Dogon Hunters wakifyatua bunduki kumkaribisha mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita katika mkutano wa kampeni.
  • Mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye mji wa Bamako, Mali, Julai 21 2013.
  • Mgombea urais Soumaila Cisse akipunga mkono kwa wafuasi wake kwenye kampeni huko Bamako Julai 20, 2013.
  • Wanawake na wasichana wakiwa wamevalia nguo zilizotengenezwa kwa kitambaa cha Wax wakiwa wamembeba mtoto aliyevalia nguo yenye picha ya mgombea urais Soumaila Cisse.

  Mali yajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.

  Published July 25, 2013

  Raia wa Mali sasa wanajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.