• Afisa wa usalama abishana na mama mmoja anabeba fimbo katika eneo ambalo wafuasi wa rais aliyepinduliwa Mohamed Morsi wamekusanyika katibu na Chuo kikuu cha Cairo, huko Giza, Cairo,, Augusti 14, 2014.
  • Wafuasi wa rais aliyepinduliwa Misri Mohamed Morsi wakizingira gari la polisi wakati wa mapambano na vikosi vya usalama vya Misri katika mtaa wa Cairo wa Mohandessin, Misri,  Augusti 14, 2013. 
  • Wafuasi wa rais aliyepinduliwa Misri Mohamed Morsi wakiimba nyimbo dhidi ya waziri wa ulinzi  Gen. Abdel-Fattah el-Sissi wakati wa mapambano na vikosi vya usalama katika mtaa wa Cairo wa  Mohandessin , Augusti 14, 2013. 
  • Gari la polisi linasukumwa na kunagushwa kutoka daraja la October 6 na waandamanaji karibu na kambi kuu la mkusanyiko mkubwa wa wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Morsi katika wilaya ya  Nasr City mashariki ya Cairo,  Augusti 14, 2013.
  • Afisa wa usalama wa Msiri akibeba msahafu wanapowaondowa wafuasi wa Mohamed Morsi kutoka kambi dogo la wafuasi wake karibu na chuo kikuu cha Cairo huko Giza, Cairo, Ogusti 14, 2013.
  • Supporters of Egypt's ousted President Mohammed Morsi clash with the Egyptian security forces as the forces clear their sit-in camp in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt, August 14, 2013. 
  • Makeshift wooden huts burn at a sit-in camp set up by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi as Egyptian security forces clear the camp near Cairo University in Cairo's Giza district, Egypt, August 14, 2013. 
  • Supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi carry another as Egyptian security forces clear a sit-in camp set up near Cairo University in Cairo's Giza district, Egypt, August 14, 2013. 
  • A protester comes to the aid of a wounded comrade as security forces clear a sit-in by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt, August 14, 2013. 
  • Supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi, stand among debris and smoke in background as they confront Egyptian security forces trying to clear the smaller of the two sit-ins, near the Cairo University campus in Giza, Cairo, Egypt, Wednesday,
  • Egyptian security forces clear a sit-in by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt,  August 14, 2013. 
  • Protesters throw stones at Egyptian security forces trying to clear a sit-in by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt,  August 14, 2013. 
  • Egyptian security forces detain protesters as they clear a sit-in by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt, August 14, 2013. 
  • A wounded protester lies on the ground as Egyptian security forces clear the smaller of the two sit-ins by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi, near the Cairo University campus in Giza, Cairo, Egypt, August 14, 2013.
  • A lightly wounded member of the Egyptian security forces talks with other officers as they clear sit-ins by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi, near the Cairo University campus in Giza, Cairo, Egypt, August 14, 2013.
  • Fires burn as Egyptian security forces clear a sit-in by supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City district of Cairo, Egypt,  Aug. 14, 2013. 

  Vikosi vya usalama Misri vya pambana na wafuasi wa Morsi

  Published August 14, 2013

  Vyombo vya habari Misri vinaripoti kuwepo na idadi kubwa ya majeruhi mjini Cairo baada ya vikosi vya usalama kushambulia maeneo mawili walokusanyika wafuasi wa rais aliyepinduliwa Mohamed Morsi.


  This forum has been closed.
  Comments
       
  There are no comments in this forum. Be first and add one