• Sherehe za kuapishwa Rais Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 85 kwa mhula mwengine wa miaka mitano madarakani mjini Harare, August 22, 2013.
  • President Robert Mugabe wa Zimbabwe ashika bibilia akila kiapu wakati wa sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, Ogusti 22, 2013.
  • Rais Robert Mugabe na mkewe Grace waikiwapungia mkono umati wa watu alipokuwa anawasili kwenye uwanja wa michezo kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, August 22, 2013.
  • Mfuasi wa rais Robert Mugabe akibeba bango la rais wakati wa sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, August 22, 2013.
  • A supporter of Zimbabwean President Robert Mugabe attends his inauguration in Harare, August 22, 2013.

  Rais Mugabe aapishwa kwa mhula mwengine

  Published August 22, 2013


  This forum has been closed.
  Comments
       
  There are no comments in this forum. Be first and add one