Maandamano dhidi ya mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala mashariki ya Congo

  Published January 03, 2014


  Wakazi wa miji ya Mashariki ya Congo wameandamana kulaani mauwaji ya kamanda aliyewamaliza wapiganaji wa M23, na kuanza kuwasaka wapiganaji wa makundi mengine ya waasi.

  1

  Wakazi wa mji wa Benni wakiandamana kulaani mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala, wanataka uchunguzi ufanyike kwani hawaamini ni waasi ndio walomua.  Jan, 03 2013

  2

  Vikosi vya usalama wakiwazuia waandamanaji mjini Benni walokuwa wanadai uchunguzi wa kina katika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala

  3

  Wanawake wakiandamana Benni kulalamiika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala Jan, 03 2014

  4

  Waandamanaji katika njia kuu ya Beni kulaani mauwaji ya Kanali M. Ndala

  5

  Mwandamanaji akilalamika mjini Beni kulaani mauwaji ya Kanali M. Ndala

  6

  Colonel Mamadou Ndala akiongozana na wanajeshi wa Kongo kuwasaka wapiganaji wa AFD Nalu

  7

  Kanali Mamadou Ndala komanda wa kikosi maalum cha jeshi la  Congo linalowasaka waasi mashariki mwa nchi

  8

  Rais Joseph Kabila pamoja na Gavana wa Kivu Kaskazini Julien Paluku mjini Goma

  9

  Wanajeshi wa FARDC wakiwa katika msitu wa Virunga wakisubiri katika kuwasaka wapiganaji wa AFDL Nalu

  10

  Ndege ya Drone ya Umoja wa Mataifa huko Mashariki ya Congo

  11

  Wanajeshi wa jeshi la taifa la Congo waelekea kutayarisha mpango wa kuwashambulia waasi wa AFDL Nalu