Majeshi ya serikali ya Congo yawarudisha nyuma wapiganaji wa M23

  Published August 30, 2013


  Wapiganaji wa M23 walitangaza ijumaa kwamba wanaondoka kutoka mstari wa mbele wa mapigano na majeshi ya serikali ya Congo. Lakini maafisa wa serikali wanasema M23 wameshindwa katika mapigano karibu na Goma.

  1

  DR Congo FADRC taker

  2

  Wanajeshi wa DRC washerekea ushindi dhidi ya M23 Kibati

  3

  Wanajeshi wa DRC wakitembea Kibati baada ya kuwarudisha nuyuma M23

  4

  Mnara wa mawasiliano uloharibiwa Kibati

  5

  Ngome iliyotekekezwa ya M23 Kibati

  6

  gari la M23 lililoharibiwa na majeshi ya DRC