VOANews.com

Sauti ya Amerika ▪ SwahiliPata habari za kuaminika

 
Habari katika Lugha 45
Tume ya Uchaguzi Iran kuchunguza matokeo

16/06/2009

Baraza la Walinzi wa Mapinduzi la Iran limetangaza kwamba liko tayari kuhesabu upya kura za uchaguzi wa rais wenye utata mkubwa ambapo rais Mahamoud Ahmedinejad alitangazwa mshindi. 
Hundreds of thousands of Iranian supporters of defeated reformist presidential candidate Mir Hossein Mousavi demonstrate in Tehran, 15 Jun 2009
Maelfu na maelfu ya wa Iran wandamana Tehran kumuunga mkono Mir Hossein Mousavi 15 Juni 2009

Mgombea mashuhuri mpenda mageuzi Mir Hossein Mousavi anayepinga matokeo hayo, alikutana na wajumbe wa baraza hilo ili kujadili juu ya kuhesabiwa upya kura. Mgombea huyo wa upinzani alijadili na wajumbe wa baraza hilo ambalo ndilo linasimamia uchaguzi nchini humo, juu ya utaratibu wa kuhesabu upya kura kutokana na uchaguzi wa Ijumaa.

Tume ya uchaguzi ilidokeza mapema kwamba iko tayari kuhesabu upya kura zilizosababisha mabishano makubwa nchini humo, baada ya rais Ahmedinejad kutangazwa mshindi, kukiwepo na malalamiko ya wizi kutoka upinzani.

Akizungumza na televisheni ya taifa kiongozi wa baraza, Ayatollah Ahmed Jannati alisema, baraza lake liko tayari kuchunguza upya matokeo ya uchaguzi huo.




E-mail This Article Mtumie rafiki makala
Print This Article Chapisha bila picha
  Makala mepya
CUF yafurahishwa na hotuba ya Karume  Audio Clip Available

  Mahojiano zaidi
Rais Umaru Yar'Dua wa Nigeria, kwenda Saudi Arabia kwa matibabu
Israel na Misri zatoa mwito wa amani
EAC yakubaliana juu ya soko la pamoja  Audio Clip Available
Hatari ya gesi katika Ziwa Kivu  Audio Clip Available
Kielelezo cha Katiba Kenya Kujadiliwa  Audio Clip Available
Marais Obama na Hu wajadili uchumi kati ya Marekani na China
Umoja wa Mataifa waahidi kuteketeza baa la njaa duniani  Audio Clip Available
Wanawake watoa wito wa mabadiliko Zanzibar  Audio Clip Available
Mafuriko yaongezeka Tanzania  Audio Clip Available
Chama cha Bemba DRC chaelekea kugawanyika
Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni
WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya
Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin
Chanjo ya Malaria Yakaribia  Audio Clip Available