VOANews.com

Sauti ya Amerika ▪ SwahiliPata habari za kuaminika

 
Habari katika Lugha 45
Hali Iran haitabiriki kwa sasa


15/06/2009

Supporters of reformist presidential candidate Mir Hossein Mousavi carry his poster, during a rally in Azadi street in Tehran, 15 June 2009
Wafuasi wa kiongozi wa upinzani Mir Hossein Mousavi wakiandamana mjini Tehran.

Rais wa Marekani Barack Obama amekariri wasiwasi wake juu ya matukio nchini Iran kufuatia matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyozusha ubishi na kusababisha maandamano katika mitaa na barabara za mji mkuu Tehran.

Akizungumza na sauti ya Amerika Jumatatu mchambuzi wa maswala ya kisiasa Profesa Xavery Lwaitama alisema maandamano yanayoonekana Tehran yanatokana na vijana na watu wanaotaka mabadiliko.

 Alisema waandamanaji hao wangependa kuwa huru kutumia vyombo vya habari vya kisasa. Profesa Lwaitama alisema taifa la Iran limejikita katika misingi ya kidini na kwamba ushawishi wa nchi za magharibi huenda umechochea azma ya kuyataka mabadiliko.

Akizungumza kuhusu rais Mahmoud Ahmadinejad aliyechaguliwa kwa muhula wa pili, mhadhiri huyo wa chuo kikuu cha Dar-es-Salaam Tanzania, alielezea kuwa rais Ahmadinejad ana uungaji mkono wa viongozi wa wengi wa kidini akiwemo Ayatollah Ali Khamenei na kwamba anajionyesha kuwa mtu wa kawaida. 

Profesa Lwaitama alisema huenda mpinzani wake Mir Hossein Mousavi amepigwa na mshangao  sasa kwamba amewasha moto wa kisiasa asioweza kuzima kwa kupinga matokeo ya uchaguzi huo, na kwamba litakaloibuka baada ya ghasia hizi haliwezi kutabiriwa.         


Download Hali Iran haitabiriki kwa sasa
Fungua  (MP3)
Listen to This Report Hali Iran haitabiriki kwa sasa
Sikiliza (MP3)
E-mail This Article Mtumie rafiki makala
Print This Article Chapisha bila picha
  Makala mepya
Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni

  Mahojiano zaidi
Jenerali Kazini wa Uganda auawa na mpenzi wake
WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya
Maharamia wa Somalia washambulia Meli Bahari ya Mbali
Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin
MDC yatoa siku 30 za suluhisho Zimbabwe
Ocampo ataomba uchunguzi kuhusu ghasia Kenya
Warepublican na Wademocratic watofautiana juu ya ushindi Marekani  Audio Clip Available
Wakimbizi wa Congo warudi nyumbani
Chanjo ya Malaria Yakaribia  Audio Clip Available
Operesheni "rudi nyumbani" Kenya yaingia dosari  Audio Clip Available
AU yajaribu kutanzua mzozo wa Madagascar
Wauaji wa Albino wahukumiwa vifo  Audio Clip Available
Kabila atafuta suluhisho kwa Zimbabwe
Makundi ya kutetea haki Zimbabwe yasusia mkutano wa serekali.
Viongozi wa AU waizungumzia mzozo wa Darfur
Habari kuu Kenya na Marekani wiki hii  Audio Clip Available
Marekani yaiwekea Sudan vikwazo
Msumbiji wapiga kura kwa amani
Burundi inawatia kizuzini mabalozi wake wawili  Audio Clip Available
Rais Mugabe na Tsvangirai washindwa kuelewana
Marekani inamnyima afisa wa juu Kenya visa  Audio Clip Available
Kampeni za uchaguzi mkuu Msumbiji za pamba moto
Mkataba mpya wa waliopoteza makazi Afrika
Kiongozi wa Mungiki aachiwa huru  Audio Clip Available
Afrika kusaini makubaliano kuwalinda wakimbizi
Al-Shabab wajaribu kumshambulia rais wa Somalia  Audio Clip Available
Guinea kupelelezwa kwa kukiuka Haki za Binadamu
Wakfu wa Mandela Wakanusha Madai
Jumuia ya kimataifa haiwasaidi IDP's wa Somalia
Kibaki awaahidi wakenya katiba mpya  Audio Clip Available
Hakuna anayestahili tuzo la Mo Ibrahim 2009
MDC yaacha kujihusisha na serikali ya Umoja ya Zimbabwe
Ghana yachukua kombe la Dunia chini ya miaka 20
Afrika Mashariki yazidi kukumbwa na njaa  Audio Clip Available
Dunia yamkumbuka Mwalimu  Audio Clip Available
HRW yaishutumu DRC kutowajali raia wake
Obama apokea kwa mshangao na unyenyekevu tunzo ya amani  Audio Clip Available
Waathirika wa Mabomu 1998 Tanzania waandaa Kesi  Audio Clip Available