VOANews.com

Sauti ya Amerika ▪ SwahiliPata habari za kuaminika

 
Habari katika Lugha 45
Wabunge wa Somalia wakimbilia Kenya

24/06/2009

 Mapigano yanayongozwa na wanaharakati wakislamu wenye itikadi kali yamewapelekea wabunge 15 wa Somalia  kukimbilia nchi jirani ya Kenya, wakihofia maisha yao. 

Wabunge hao  waliwasili Nairobi mapema wiki hii wakisema hali ni ya hatari na hawaamini serikali ya mpito inaweza kuendelea kupambana na vikosi vya wanamgambo wa al-Shabab na washirika wao bila ya msaada wa kigeni.

Kuna zaidi ya wabunge 280 walobaki huko Mogadishu ili kuhakikisha miswada inapitishwa, kwani inahitajika wabunge 250 kati ya wabunge 550 wa bunge la mpito kuweza kuwa na majadiliano yeyote.

A Somali man carries a boy wounded during mortar shelling, 17 Jun 2009, in Mogadishu
Mtoto aliyejeruhiwa kwa mzinga anabebwa na mtu moja huko Mogadishu
Wakati huo huo mwandishi wa Sauti ya Amerika Mwai Gikonyo, anaripoti kwamba zaidi ya watu 100 waliojeruhiwa vibaya kutokana na majeraha ya risasi, waliwasili Nairobi na kupelekwa katika hospitali mbali mbali za mji huo wakiwa chini ya ulinzi mkali.

Balozi wa Somalia mjini Nairobi Bw Ali Noor, amesema hospitali za Mogadishu zimeja majeruhi na hazina uwezo wa kuwatibu watu waliojeruhiwa vibaya sana. Awali polisi wa Kenya waliwazuia majeruhi hao pamoja na wabunge kuingia nchini humo wakitoa sababu za kiusalama.

Lakini kibali kilitolewa baada ya Shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuingilia kati na kuitaka Kenya kuheshimu sheria za kimataifa za kuwalinda majeruhi wa vita.


Download Kenya Somalia mps
Fungua  (MP3)
Listen to This Report Kenya Somalia mps
Sikiliza (MP3)
E-mail This Article Mtumie rafiki makala
Print This Article Chapisha bila picha
  Makala mepya
Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni

  Mahojiano zaidi
Jenerali Kazini wa Uganda auawa na mpenzi wake
WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya
Maharamia wa Somalia washambulia Meli Bahari ya Mbali
Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin
MDC yatoa siku 30 za suluhisho Zimbabwe
Ocampo ataomba uchunguzi kuhusu ghasia Kenya
Warepublican na Wademocratic watofautiana juu ya ushindi Marekani  Audio Clip Available
Wakimbizi wa Congo warudi nyumbani
Chanjo ya Malaria Yakaribia  Audio Clip Available
Operesheni "rudi nyumbani" Kenya yaingia dosari  Audio Clip Available
AU yajaribu kutanzua mzozo wa Madagascar
Wauaji wa Albino wahukumiwa vifo  Audio Clip Available
Kabila atafuta suluhisho kwa Zimbabwe
Makundi ya kutetea haki Zimbabwe yasusia mkutano wa serekali.
Viongozi wa AU waizungumzia mzozo wa Darfur
Habari kuu Kenya na Marekani wiki hii  Audio Clip Available
Marekani yaiwekea Sudan vikwazo
Msumbiji wapiga kura kwa amani
Burundi inawatia kizuzini mabalozi wake wawili  Audio Clip Available
Rais Mugabe na Tsvangirai washindwa kuelewana
Marekani inamnyima afisa wa juu Kenya visa  Audio Clip Available
Kampeni za uchaguzi mkuu Msumbiji za pamba moto
Mkataba mpya wa waliopoteza makazi Afrika
Kiongozi wa Mungiki aachiwa huru  Audio Clip Available
Afrika kusaini makubaliano kuwalinda wakimbizi
Al-Shabab wajaribu kumshambulia rais wa Somalia  Audio Clip Available
Guinea kupelelezwa kwa kukiuka Haki za Binadamu
Wakfu wa Mandela Wakanusha Madai
Jumuia ya kimataifa haiwasaidi IDP's wa Somalia
Kibaki awaahidi wakenya katiba mpya  Audio Clip Available
Hakuna anayestahili tuzo la Mo Ibrahim 2009
MDC yaacha kujihusisha na serikali ya Umoja ya Zimbabwe
Ghana yachukua kombe la Dunia chini ya miaka 20
Afrika Mashariki yazidi kukumbwa na njaa  Audio Clip Available
Dunia yamkumbuka Mwalimu  Audio Clip Available
HRW yaishutumu DRC kutowajali raia wake
Obama apokea kwa mshangao na unyenyekevu tunzo ya amani  Audio Clip Available
Waathirika wa Mabomu 1998 Tanzania waandaa Kesi  Audio Clip Available