VOANews.com

Sauti ya Amerika ▪ SwahiliPata habari za kuaminika

 
Habari katika Lugha 45
Michael Jackson akumbukwa kote duniani

26/06/2009

Mwana muziki mashuhuri kabisa wa muziki hapa Marekani Michael Jackson alifariki alhamisi tarehe 25 June baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo nyumbani kwake huko Los Angeles. Alikua na umri wa miaka 50 na ni mmoja kati ya wasanii waliokua maarufu sana duniani ambaye alichanganya pamoja muziki wa aina ya pop, rock na soul uliowavutia watu wengi duniani wa kila rangi na utamaduni.

Michael Jackson alizaliwa tarehe 19 Augusti 1958 mjini Gary, Indiana akiwa mtoto wa saba kati ya watoto tisa. Yeye na kakazake wanne wakubwa walionekana tangu wadogo wakiwa na kipaji cha muziki, kuimba na kucheza dansa na hasa kuhimizwa na wazazi wao. Akiwa na umri wa miaka mitano alishuka kwa mara ya kwanza katika jukwaa na kuanza kuimba pamoja na ndugu zake hao wakiuwa na kundi la Jackson Five.

In this 13 Nove 1988, file photo, pop singer Michael Jackson performs before a sold out crowd for his Bad tour at the Los Angeles Sports Arena
Michael Jackson huko Los Angeles Nov 13 1988.
Baada ya mashindano ya muziki katika ukumbi mashuhuri wa Apollo huko New York Jackson Five walitia saini mkataba wao wa kwanza na kampuni ya rekodi ya Motown, na kuanzia 1964 hadi 1981 kwa pamoja ndugu hao waliuza zaidi ya rekodi milioni 100.

Mbali ya kuwa msanii hodari, mfanya biashara na mtu mkarimu Michael alikumbwa na kashfa kadhaa katika maisha yake na kubwa ni tuhuma ya kuwanajisi watoto wadogo, jambo ambalo mahakama iliamua hakua na hatia. 

Kabla ya kufariki kwake, alikua anafanya mazoezi na matayarisho kwa ajili ya tamasha lake kubwa kabisa huko London la kutaka kurudi upya kwenye jukwaa la muziki na kuwaonyesha wakosowaji wake kwamba yungali ni mfalme wa pop. Lakini muda wake ulifika na aliaga dunia kwa ghafla kabisa. Mola amlaze pema Peponi.


E-mail This Article Mtumie rafiki makala
Print This Article Chapisha bila picha
  Makala mepya
Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni

  Mahojiano zaidi
Jenerali Kazini wa Uganda auawa na mpenzi wake
WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya
Maharamia wa Somalia washambulia Meli Bahari ya Mbali
Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin
MDC yatoa siku 30 za suluhisho Zimbabwe
Ocampo ataomba uchunguzi kuhusu ghasia Kenya
Warepublican na Wademocratic watofautiana juu ya ushindi Marekani  Audio Clip Available
Wakimbizi wa Congo warudi nyumbani
Chanjo ya Malaria Yakaribia  Audio Clip Available
Operesheni "rudi nyumbani" Kenya yaingia dosari  Audio Clip Available
AU yajaribu kutanzua mzozo wa Madagascar
Wauaji wa Albino wahukumiwa vifo  Audio Clip Available
Kabila atafuta suluhisho kwa Zimbabwe
Makundi ya kutetea haki Zimbabwe yasusia mkutano wa serekali.
Viongozi wa AU waizungumzia mzozo wa Darfur
Habari kuu Kenya na Marekani wiki hii  Audio Clip Available
Marekani yaiwekea Sudan vikwazo
Msumbiji wapiga kura kwa amani
Burundi inawatia kizuzini mabalozi wake wawili  Audio Clip Available
Rais Mugabe na Tsvangirai washindwa kuelewana
Marekani inamnyima afisa wa juu Kenya visa  Audio Clip Available
Kampeni za uchaguzi mkuu Msumbiji za pamba moto
Mkataba mpya wa waliopoteza makazi Afrika
Kiongozi wa Mungiki aachiwa huru  Audio Clip Available
Afrika kusaini makubaliano kuwalinda wakimbizi
Al-Shabab wajaribu kumshambulia rais wa Somalia  Audio Clip Available
Guinea kupelelezwa kwa kukiuka Haki za Binadamu
Wakfu wa Mandela Wakanusha Madai
Jumuia ya kimataifa haiwasaidi IDP's wa Somalia
Kibaki awaahidi wakenya katiba mpya  Audio Clip Available
Hakuna anayestahili tuzo la Mo Ibrahim 2009
MDC yaacha kujihusisha na serikali ya Umoja ya Zimbabwe
Ghana yachukua kombe la Dunia chini ya miaka 20
Afrika Mashariki yazidi kukumbwa na njaa  Audio Clip Available
Dunia yamkumbuka Mwalimu  Audio Clip Available
HRW yaishutumu DRC kutowajali raia wake
Obama apokea kwa mshangao na unyenyekevu tunzo ya amani  Audio Clip Available
Waathirika wa Mabomu 1998 Tanzania waandaa Kesi  Audio Clip Available