VOANews.com

Sauti ya Amerika ▪ SwahiliPata habari za kuaminika

 
Habari katika Lugha 45
Profesa Haroub Othman azikwa  Zanzibar

29/06/2009

Haroub Othman
Haroub Othman
Mhadhiri wa siku nyingi katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam na mchambuzi wa masuala ya siasa Profesa Othman Haroub amezikwa leo huko Zanzibar. Mazishi ya Profesa Haroub yamehudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar na Tanzania bara, viongozi wa dini, wanasiasa, wafanyabiashara na wanazuoni. Abdulshakur abood amezungumza na mwandishi wa habari Salim Said Salim kutoka Zanzibar ambaye alielezea mazishi ya mhadhiri huyo aliyefariki Jumamosi usiku nyumbani kwake Unguja akiwa na umri wa miaka 66. Alisema jopo la wanasheria Zanzibar walieleza wamempoteza mtu mahiri katika fani ya sheria kote visiwani na bara na mpigania haki za watu ndani na nje ya Tanzania. Profesa Haroub alikuwa mchangiaji mkubwa katika vipindi mbalimbali vya Sauti ya Amerika. 


Download Haroub Othman
Fungua  (MP3)
Listen to This Report Haroub Othman
Sikiliza (MP3)
E-mail This Article Mtumie rafiki makala
Print This Article Chapisha bila picha
  Makala mepya
Marekani na India kuimarisha ushirikiano wao

  Mahojiano zaidi
Rais Umaru Yar'Dua wa Nigeria, kwenda Saudi Arabia kwa matibabu
Suala la Ardhi EAC Lafafanuliwa  Audio Clip Available
CUF yafurahishwa na hotuba ya Karume  Audio Clip Available
Israel na Misri zatoa mwito wa amani
EAC yakubaliana juu ya soko la pamoja  Audio Clip Available
Hatari ya gesi katika Ziwa Kivu  Audio Clip Available
Kielelezo cha Katiba Kenya Kujadiliwa  Audio Clip Available
Marais Obama na Hu wajadili uchumi kati ya Marekani na China
Umoja wa Mataifa waahidi kuteketeza baa la njaa duniani  Audio Clip Available
Wanawake watoa wito wa mabadiliko Zanzibar  Audio Clip Available
Mafuriko yaongezeka Tanzania  Audio Clip Available
Chama cha Bemba DRC chaelekea kugawanyika
Mapendekezo ya Katiba mpya Kenya kuchapishwa karibuni
WHO: wanawake wabaguliwa kupata huduma za afya
Miaka 20 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin
Chanjo ya Malaria Yakaribia  Audio Clip Available