Picha AP
Curtis Jackson (50 cent) atembelea wakimbizi Somalia na kenya .
Habari kamili
Watu 9 wafariki dunia katika mlipuko wa bomu kwenye hoteli ya Muna Mogadishu.
Baada ya kutembea hatua chache, wanaharakati hao waliweka kambi katika eneo la Daraja la Selender na kufanya mzunguko wa magari kusimama
Daraja na kambi ya jeshi vyalipuliwa huko Kaduna Nigeria.
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Kenya Bw, Raila Odinga, akabiliwa na upinzani mkali katika uwongozi wa chama chake cha ODM.
Kwenye kikao cha kwanza cha bunge mwaka huu, miongoni mwa masuala yaliyopewa kipau umbele ni mswada dhidi ya mashoga.
Hospitali ya kitaifa ya Muhimbili Tanzania yasitisha shughuli zake kufuatia mgomo wa madaktari
Kundi la Boko Haram linashukiwa kwa mashambulizi huko Kano na Maiduguri.
Wanaharakati wanaopinga ukeketaji wanalenga kuzishirikisha jamii kukomesha ukeketaji kupitia mazungumzo.
Raia 19 wa Marekani na watu wengine 43 wafikishwa wafikishwa Mahakamani.
Ikiadhimisha siku ya saratani duniani Umoja wa Matiafa umetoa wito kwa watu kupimwa mapema ili kupunguza idadi ya vifo vinavyo ongezeka.
Milio ya bunduki , gesi ya machozi, mawe yaliyorushwa kwa polisi vilitawala hewani na kote katika uwanja wa kihistoria wa Tahrir huko C
Marekani ina wasi wasi kuhusu kuendelea kwa ghasia katika miji ya kaskazini mwa Mali.
Malefu ya Wamisri waandamana Cairo kulaani wakuu wa kijsehi na vikosi vya usalama kwa kutozuia ghasia zilizosababisha vifo 74 Port Said.
Wabunge wanapendekeza kuundwa kwa tume ambayo itakagua kazi zote za Serikali kuhusiana na miradi ya mazingira