blank

About VOA | Contact VOA News

Amerika Leo

Marekani yamkumbuka Don Cornelius wa Soul Train

Mwendesha kipindi cha Soul Train alifariki Februari mosi nyumbani kwake Los Angeles baada ya kujipiga risasi mwenyewe

Obama asema hali ya taifa ni nzuri

Rais Obama asema katika hotuba yake ya hali ya taifa bungeni kuwa hali ya taifa chini ya utawala wake ni nzuri

Hillary Clinton afanya ziara ya kushtukiza Libya

Waziri Clinton asema Marekani itatoa msaada wa mamilioni ya dola kusaidia program za elimu na afya nchini Libya

Mnara wa kumbukumbu ya Martin Luther King Jr wazinduliwa

Rais Barack Obama aongoza sherehe rasmi za uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu kwa heshima ya mteteziwa haki za kiraia Martin Luther King

Dominique Strauss-Kahn, mkuu wa IMF ndani ya gari la polisi akipelekwa rumande mjini New York

Hakimu akataa kumpa mkuu wa IMF dhamana

Mkuu wa IMF Dominique Strauss-Khan amefunguliwa mashtaka kadhaa ya uhalifu ikiwa ni pamoja na jaribio la kumbaka mwanamke mjini New York

.

Rais Obama atoa heshima kwa waathirika wa Sep 11, 2001

Rais Obama ameweka shada la maua kwenye majengo yaliyoharibiwa na mashambulizi ya Septemba 11, 2001 na kukutana na familia za waathirika

Rais Barack Obama akitoa hotuba ya pili ya Hali ya Taifa Bungeni

Obama: Lazima Marekani kuongoza tena duniani

Rais Obama ametumia hotuba yake ya pili juu ya Hali ya Taifa kutoa wito kwa ajili ya uwekezaji katika ubunifu, maendeleo na elimu

Mabadiliko ya uwongozi katika bunge Marekani

Wapiga kura wa Marekani wamekipatia ushindi mkubwa chama cha Republicans katika uchaguzi wa kati kati ya mhula

Obama Akutana na Maafisa wa BP

Rais Obama akutana na maafisa wa BP leo White House kudai walipie gharama za uharibifu wa uvujaji mafuta Ghuba ya Mexico.

VOA+Mitaani

Sikiliza matangazo

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Alfajiri - Habari 0300
Jioni - Habari 1630


VOA 60 - Africa

To view this site, you need to have Flash Player 9.0.115 or later installed. Click here to get the latest Flash player.


Makala Maalum

VOA Congo Story

Steve Jobs: 1955 - 2011

Maoni

Jee Mapinduzi ya teknolojia ya habari ya Steve Jobs yamekuletea mabadiliko katika maisha yako?

Angalia matokeo »

Shambulio la Bomu Mogadishu

Ajali ya meli Zanzibar