blank

About VOA | Contact VOA News

Je Nifanyeje ?

 

 

 

Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana

Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.

 

Wiki ijayo:

Usikose kusikiliza majadiliano katika kipindi cha Je Nifanyeje, ambapo wasichana wanazungumzia sababu zinazomfanya mtoto wa kike awe muoga katika mapenzi na pia hadithi ya msichana Yusra Ramadhani kuhusu maisha yake yalivyobadilika baada ya wazazi wake kugombana na kukosa msaada wa kutosha kujiendeleza kielimu.

 

Katika Picha: Je Nifanyeje?

 

 

Weka maoni yako

 
 

 

 

Interactive


Je+Nifanyeje%3F+Facebook Je Nifanyeje? Facebook

Tuandikie Kwa Barua


Au tutumie:
+1 (202) 619-1600

Au tutumie fax:
+1 (202) 619-1601

Au e-mail:
jenifanyeje@gmail.com

Kipeperushi:
Je Nifanyeje?
VOA Swahili
330 Independence Ave., SW
Washington, DC 20237
USA

Sikiliza Kipindi


Ratiba Sat-Sun
Saa (kwa saa za huku) 20:00
UTC saa ya kimataifa 1700
Muda 30:00

Sikiliza:
MP3 | Windows Media
Podcast