blank

About VOA | Contact VOA News

Afya

Mtoto akipimwa na daktari katika zahanati ya kijiji cha Loro wilaya ya Oyam kaskazini ya Uganda.
Picha Reuters

Wanawake wa Uganda wadai haki za wajawazito

Wanaharakati wa kutetea haki za wamama wajawazito wanaitaka serikali iwajibike kwa kutotilia maanani afya yao

Habari kamili
Malaria is transmitted among humans by female Anopheles mosquitoes like this one.

Malaria yapungua Tanzania

Wataalamu wa afya wanasema kwamba, mafanikio zaidi yameanza kujitokeza kwa kina mama wajawazito na watoto waliochini ya umri wa miaka 5

Kutahiri huwenda ikazuia saratani ya kibofu cha mkojo

Wanaume wanaotahiriwa kabla ya tendo la kwanza la ngono huenda wasipate saratani ya kibofu cha mkojo

Rais Kikwete ahahirisha mkutano wake na wazee wa jiji

Mgomo wa madaktari unaoendelea katika hospitali za umma nchini Tanzania umesababisha Rais Kikwete kuahirisha mkutano wake na wazee wa ji

Madakatari Tanzania watangaza mgomo usio na kikomo.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imejipanga kukabiliana na mgomo mwingine wa madaktari

Madaktari wakiwatembelea wagonjwa kwenye wodi ya hospitali ya Muhimbili baada ya mgomo wa wiki tatu.

Madaktari Tanzania warudi kazini

Serikali imewasitisha kazi maafisa wawili wa wizara ya afya, pale madaktari waliokuwa kwenye mgomo walianza kurudi kazini.

Hospitali ya Muhimbili yasitisha huduma

Hospitali ya kitaifa ya Muhimbili Tanzania yasitisha shughuli zake kufuatia mgomo wa madaktari

Madaktari waripoti matokeo mazuri ya majaribio ya saratani ya matiti katika hospitali ya John Hopkins mjini Baltimore, Marekani.

Umoja wa Mataifa unahimiza kupima mapema saratani ili kupunguza vifo

Ikiadhimisha siku ya saratani duniani Umoja wa Matiafa umetoa wito kwa watu kupimwa mapema ili kupunguza idadi ya vifo vinavyo ongezeka.

Je Nifanyeje? Wiki ijayo

VOA+Mitaani

Sikiliza matangazo

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Alfajiri - Habari 0300
Jioni - Habari 1630
Je Nifanyeje - Habari 1700


VOA 60 - Africa

To view this site, you need to have Flash Player 9.0.115 or later installed. Click here to get the latest Flash player.


Maoni

Jee Mapinduzi ya teknolojia ya habari ya Steve Jobs yamekuletea mabadiliko katika maisha yako?

Angalia matokeo »

Ajali ya meli Zanzibar