blank

About VOA | Contact VOA News

Siasa RSS Feeds RSS Feed

Picha AFP

Mauaji ya kikatili Syria

Msemaji asema jeshi la Syria halina lawama juu ya shambulizi hilo.

Habari kamili

Ghasia za sababisha uharibifu wa mali Zanzibar

Serikali ya Zanzibar imetowa wito kwa wananchi kuwa watulivu na hatua zinachukuliwa kudumisha amani baada ya ghasia mwishoni mwa wiki

UNDP yazindua ripoti ya chakula Afrika

Ripoti hiyo imebeba dhima isemayo kuelekea kwenye mustakabali wenye uhakika wa chakula

Rais wa Somalia Sheikh Sharif Sheik Ahmed aliyesimama  kati kati

Vyama vya kisiasa Somalia vyatia saini makubaliano

Rais wa Somalia Sheikh Sharif Ahmed asifu mwamko mpya wa umoja na ushirikiano wa makundi mbali mbali na koo nchini humo

Mamilioni wapiga kura katika uchaguzi wa rais Misri.

Kiasi cha Wamisri milioni 50 wanastahili kupiga kura

Wanamgambo wa kundi la Al-Shabab

Kampeni kali yazinduliwa dhidi ya Al-Shabab

Kundi la Al-Shabab lashambuliwa vikali kwenye vituo vyake inavyovidhibiti nje ya Mogadishu

Mwanamke wa kisomali akipika chakula katika kambi moja ya wakimbizi waliokoseshwa makazi ndani ya nchi yao

Wasomali wajadili uthabiti wa nchi yao

Viongozi wa Somalia na wanasiasa nchini humo wakutana Ethiopia kabla ya siku 90 za serikali ya mpito kumaliza muda wake

Rais wa Mali ashambuliwa na waandamanaji

Waandamanaji walikwenda Ikulu Jumatatu na kumtaka rais mpito Traore kuacha madaraka.

Mkutano wa NATO Chicago

Rais Barack Obama asema mkakati wa hali ya baadaye Afghanistan ni sahihi na unaungwa mkono na jamii ya kimataifa

Abdel Baset al-Megrahi, mtu pekee aliyepatikana na hatia ya kulipua kwa bomu ndege ya Pan Am 1988 huko Lockerbie

Megrahi afariki kutokana na saratani

Mtu pekee aliyehukumiwa kwa kuhisika na kulipuliwa bomu ndani ya ndege juu ya Lockerbie amefariki baada ya kuugua saratani.

Obama ahimiza usalama wa chakula barani Afrika

Rais Obama anawahmiza viongozi wa mataifa tajiri G8 kuzingatia usalama wa chakula Afrika

Nchi za Kiarabu zataka suluhisho la haraka kwa mzozo wa Sudan

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir anasema Khartoum tayari inaunga mkono mashambulizi ya kijeshi katika nchi yake

Polisi wafunga mahala shambulio limetokea Mombasa

Mtu mmoja akamatwa kwa shambulizi la Mombasa

Lazima serikali iongeze idadi ya Polisi, vituo vya polisi na magari akiongeza hilo si ombi bali ni jukumu lao asema shekhe Door

Makamanda wa jeshi wa Afrika wakutana Kampala

Mkutano huu unafanyika wakati serikali ya Nigeria inapotafuta mbinu za kupambana na kundi la Boko Haram, Somalia ikipambana na wanamgamb

Ripoti ya Umoja wa mataifa juu ya maendeleo ya binadamu Afrika

Ripoti ya maendeleo ya binadamu Afrika

Hii ni ripoti ya kwanza barani Afrika kutolewa juu ya maendeleo ya binadamu 2012

Je Nifanyeje? Wiki ijayo

VOA+Mitaani

Sikiliza matangazo

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Alfajiri - Habari 0300
Jioni - Habari 1630
Je Nifanyeje - Habari 1700


VOA 60 - Africa

To view this site, you need to have Flash Player 9.0.115 or later installed. Click here to get the latest Flash player.


Maoni

Jee Mapinduzi ya teknolojia ya habari ya Steve Jobs yamekuletea mabadiliko katika maisha yako?

Angalia matokeo »

Ajali ya meli Zanzibar