blank

About VOA | Contact VOA News

Makala Maalum - Afya

Hali ya HIV/Ukimwi Afrika

Michel Kazatchkine, mkurugenzi mtendaji wa Global Fund

Global Fund yasuta ripoti za rushwa

Maafisa wa tasisi ya kimataifa ya kupambana na ukimwi kifua kikuu na malaria, wanakosoa ripoti juu ya matumizi mabaya ye fedha zake.

Mandamano wakati wa Mkutano wa Kimataifa juu ya Ukimwi huko Vienna.

Tanzania inaimarisha juhudi za kupunguza uambukizaji HIV

Maafisa wa afya wa Tanzania wanasema kuna haja ya kuimarisha juhudi za kupunguza uambukizaji HIV katika maeneo ya mashambani.

Waathiriwa wa HIV Burundi hawapati madawa kwa urahisi

Waathiriwa wa HIV/Ukimwi nchini Burundi wanalalamika kwamba wanataabika kuweza kupata madawa, ingawa inatolewa bure.

Wodi ya wagonjwa wenye ukimwi

Lishe bora ni muhimu wanadai waathiriwa wa HIV huko DRC

Waathirwa wa HIV/ Ukimwi huko DRC wanasema haitoshi kupata madawa bila ya lishe bora na ushauri wa kisikolojia, kuweza kuwasiadia.

Mtoto mwenye virusi vya HIV akipewa dawa na nyanyake huko Durban, Afrika Kusini.

Maendeleo yapatikana kupambana na Ukimwi Kenya

Viongozi wa serikali na mashirika ya kiraia Kenya wanasema idadi ya wanao ambukizwa na HIV imepunguka.

Dawa mpya yaweza kuzuia uambukizaji Ukimwi kwa wanawake

Watafiti watangaza dawa mpya inayoweza kuzuia uambukizaji virusi vya HIV kwa wanawake katika mkutano wa kimataifa wa ukimwi.

Mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi wafunguliwa Vienna

Rais wa zamani wa marekani, Bill Clinton ameyataka mashirika ya misaada kutumia vizuri fedha za huduma za ukimwi.

Waislamu washerehekea Eid al-Adha

Maoni

Utamchagua nani kua rais wa Tanzania

Angalia matokeo »