blank

About VOA | Contact VOA News

Makala Maalum - Siasa Habari mpya 9:11 UTC Jumatano 04 Agosti 2010

Kura ya Maoni Kenya: Augusti 4

Wakenya wapiga kura ya maoni

Wananchi wa Kenya wamepiga kura leo kuamua endapo watakubali katiba mpya iliyopendekezwa nchini humo.

Hoja kwa Hoja

Waziri wa Elimu ya Juu William Ruto, mwanaharakati Lumumba Odenda na mwandishi habari Kasuja Onyonyi katika mjadala kuhusu kipengele...

Hoja kwa Hoja

Waziri wa Elimu ya Juu William Ruto ambaye anaongoza kambi ya "La" kupinga katiba mpya katika mjadala na mwanaharakati Lumumba Odenda...

Baadhi ya vipengele vyenye ubishani mkubwa katika mapendekezo ya katiba Kenya

Mabishano makali yamejitokeza kutokana na mapendekezo ya katiba mpya inayopigiwa kura Augusti 4 nchini Kenya.

Uchaguzi Tanzania 2010

Uchaguzi Tanzania 2010

Maoni

Utamchagua nani kua rais wa Tanzania

Angalia matokeo »

Ibrahim Lipumba

Lipumba anadai tume ya uchaguzi ndio tatizo kubwa kwa upinzani

Lipumba anadai tume ya uchaguzi ndio tatizo kubwa kwa upinzani

Zaidi