Fainali za Kombe la Dunia zinafanyika Afrika Kusini Juni 11 hadi Julai 11 ambapo mataifa 32 yanawania ubingwa wa soka wa dunia huku mashabiki wa soka duniani wakiwa na shauku kubwa juu ya nani atatwaa ubingwa huo. Fuatilia michuano hiyo kupitia idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, VOA.
Mabingwa wa Ulaya Hispania kukwaana na Uholanzi kwenye fainali ya kombe la dunia.
Uswiss imeshangaza fainali za Kombe la Dunia Jumatano kwa ushindi usiotazamiwa dhidi ya Spain.
Timu nyingine 3 za Afrika kwenye kombe la Dunia, Algeria, Ghana na Nigeria.
Maelezo ya mataifa 6 ya Afrika katika Kombe la Dunia kuanzia June 11 huko Afrika Kusini.
Brazil yaanza vizuri kwa kuishinda Korea Kaskazini 2-1.
Wawakilishi wengine wa Afrika katika fainali za kombe la dunia Cameroon wamepoteza mechi yao ya kwanza.
Wenyeji Bafana Bafana wa Afrika Kusini watoka sare 1-1 na Mexico katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia.
Ikiwa imebaki siku 7 tu kabla ya kuanza Kombe la Dunia, kwa mara ya kwanza barani Afrika, homa ya kandanda imeshapanda Afrika Kusini