blank

About VOA | Contact VOA News

Makala Maalum - Habari za Dunia & za Kikanda Habari mpya 10:26 UTC Jumatatu 10 Januari 2011

Kura ya maoni Sudan

Kwa wingi mkubwa wasudan kusini waamua kujitenga

Maafisa wa kura ya maoni Sudan Kusini wanasema asli mia 99 ya wananchi wameamuwa kujitenga kufwatana na matokeo ya awali

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir akionyesha kidole chenye wino baada ya kupiga kura huko Juba Sudan Kusini.

Upigaji kura ya maoni waanza Sudan Kusini

“Hii ndio demokrasia katika uhalisia wake, ambapo watu wanachagua ni nani awaongoze na ni vipi waongozwe” alisema Bw. Annan.

Wapiga kura wa sudan kuisni wakisubiri kushiriki katika kura ya maoni katika mji mkuu wa Juba, 09 Jan 2011.

Wasudan wapiga kura ya kihistoria juu ya Uhuru wao

Wapiga kura wa Sudan Kusini wajitokeza kwa maelfu kupiga kura ya kihistoria kuamua juu ya mustakbal wa eneo la kusini la Sudan.

Kisima cha mafuta karibu na Bentiu, Sudan Kusini.

Kura Sudan Kusini: Umoja au kujitenga?

Pande zote bado hazijakubaliana juu ya namna ya kugawana mapato ya mafuta

Jukwaa la kuchimba mafuta katika  uwanja wa mafuta Heglig karibu na Bentiu, southern Sudan (file photo)

Uwazi unahitajika katika mapato ya mafuta Sudan

Taasisi ya kutetea haki za mazingira Global Witness inaeleza kwamba uwazi zaidi unahitajika katika mapato ya mafuta ya Sudan.

Rais wa Sudan Omar al-Bashir, Khartoum, 20 Dec 2010

Kura Sudan Kusini:Umoja au kujitenga?

Wananchi wa Sudan Kusini watapiga kura Jumapili kuamua kama wanataka kuwa taifa huru au la.

Justice Chan Reec Madut, center, the chairman of the Southern Sudan Referendum Bureau, discusses registration and referendum preparation issues during a press conference in Juba, southern Sudan, 03 Jan 2011

Kura ya maoni Sudan: Chanzo ni nini?

Nini kimepelekea hadi Sudan Kusini inapiga kura ya maoni Januari 9?

Rais wa Sudan Omar al-Bashir

Bashir yupo tayari kwa matokeo ya Kusini

Rais Bashir wa Sudan asema yupo tayari kuisaidia Sudan kusini kama itaamua kujitenga.

Matayarisho kura ya maoni yakamilika Sudan

ugawaji wa masanduku ya kura karibu unakamilika na upigaji kura utaendelea

Rais Omar al-Bashir wa Sudan

Rais Bashir atatembelea Sudan ya Kusin

Rais Bashir wa Sudan anatazamiwa kutembelea kusini ya nchi yake kabla ya kura ya maoni ya Januari 9. Tarehe ya ziara haijulikana bado.

Rais wa Sudan Omar al-Bashir, Khartoum, 20 Dec 2010

Sudan yatishia kutoshiriki mazungumzo ya Doha

Rais wa Sudan Omar al-Bashir asema nchi yake itajitoa kwenye mazungumzo ya amani ya Doha kama hakuna maafikiano ya mkataba na waasi

George Clooney na Google kutumia teknolojia kufuatilia hali Sudan

George Clooney ashirikiana na Google kwa uangalizi makini wa Sudan

Ghasia za zuka Abyei kura ya maoni ikiendelea Sudan

Umoja wa mataifa una wasiwasi na kushtushwa na mapiganoi yanayozuka katika jimbo la Abyei, wakati kura ya maoni inaendelea.

Kura ya maoni Sudan kufikia asilimia 60

Waandaaji wa kura ya maoni huko Sudan Kusini wanasema wapiga kura waliojitokeza wanafika asilimia 60.

VOA+Mitaani

Maoni

Ni vizuri kwa Sudan Kusini kujitenga?

Angalia matokeo »

Ubakaji Congo