blank

About VOA | Contact VOA News

Makala Maalum - Habari za Dunia & za Kikanda Habari mpya 4:19 UTC Jumatano 21 Julai 2010

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo inaadhimisha miaka 50 ya uhuru, siku ambayo bendera ya Congo ilipeperushwa kwa mara ya kwanza hapo June 30 1960 kama nchi huru. Katika ukurasa huu maalum utaweza kusoma kusikiliza na kujionea picha za miaka 50 za uhuru wa DRC.

Juhudi za amani baada ya miaka 50 za Uhuru DRC

Miaka 50 tangu kujinyakulia uhuru DRC imeshuhudia ghasia, utawala mrefu wa kimabavu na mapigano, leo juhudi ni za amani na maendeleo.

 Patrice Lumumba, waziri mkuu wa Congo akitia saini tangazo la uhuru

Miaka 50 ya Uhuru wa DRC

Patrice Lumumba, waziri mkuu wa kwanza wa Congo alitia saini tangazo la uhuru katika mji mkuu wa Leopodville, Congo, June 30 1960.

Enzi ya rais Mobutu

Rais Mobutu Sese Seko alichukua madaraka mwaka 1965 baada ya kumpindua rais wa kwanza wa Congo Joseph Kasavubu na alitawala hadi 1997.