Serikali ya Kenya imepokea msaada wa dola milioni 100 kutoka China ili kuimarisha ulinzi nchini humo
Rais wa Somalia Sheikh Sharif Ahmed asifu mwamko mpya wa umoja na ushirikiano wa makundi mbali mbali na koo nchini humo
Kundi la Al-Shabab lashambuliwa vikali kwenye vituo vyake inavyovidhibiti nje ya Mogadishu
Viongozi wa Somalia na wanasiasa nchini humo wakutana Ethiopia kabla ya siku 90 za serikali ya mpito kumaliza muda wake
Rais Barack Obama asema mkakati wa hali ya baadaye Afghanistan ni sahihi na unaungwa mkono na jamii ya kimataifa
Rais Obama anawahmiza viongozi wa mataifa tajiri G8 kuzingatia usalama wa chakula Afrika
Gwiji la musiki wa Disco, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 baada ya kuugua ugonjwa wa saratani ya mapafu.
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir anasema Khartoum tayari inaunga mkono mashambulizi ya kijeshi katika nchi yake
Hii ni ripoti ya kwanza barani Afrika kutolewa juu ya maendeleo ya binadamu 2012
ICC pia inataka kukamatwa kwa mbabe wa pili wa kivita Sylvestre Mudacumura
Mapambano makali kati ya majeshi ya serikali na uasi yamepelekea kukamatwa kwa Caesar
Mashambulizi pacha yauwa zaidi ya watu 55 na kujeruhi 370 katika mji mkuu wa Syria, Damascus
Tawi la alqaeda Yemen lilidhamiria kumweka mlipua mabomu huyo kwenye ndege.
Majeshi yanayomuunga mkono rais aliyepinduliwa Amadou Toumani Ture wapigana vikali na wanajeshi waasi
Wito wa nyongeza ya mishahara, mfumuko wa bei na mazingira bora ya kazi ni moja ya malalamiko yanayoelezwa na kila mfanyakazi duniani ka
Obama asema kuna wengine wamebadili misimamo yao juu ya jambo hilo.
Mlipuko huo umetokea katika kanisa la God's House of Miracle International Church mapema wakati wa misa ya asubuhi
Wakazi katika maeneo yaliyokumbwa na vita uhama nyumba zao wakati wa usiku na kuelekea maeneo jirani yaliyo salama
Watu elfu 25 wakusanyika katika Uwanja wa Independence Square ,Kuala Lumpur kudai mabadiliko ya utawala
Rais Obama ametoa wito kwa serikali na wananchi wa Sudan na Sudan Kusini kuepusha hali ya kurudi katika vita.