Mwanzoni mwa wiki hii Rais Barack Obama alitoa hotuba yake ya hali ya taifa mbele ya kikao cha pamoja cha bunge la Marekani, na kueleza kuwa hali ya taifa chini ya utawala wake ni nzuri.

Amerika Leo

download iconDownload: MP3

Right click (Control click for Mac) and choose Save Link/Target As

Katika Amerika Leo tunatupia jicho hotuba hiyo na endapo ilikuwa na chochote kikubwa katika sera za mambo ya nje kama anavyoripoti mwandishi wa Sauti ya Amerika Dan Robinson.