Katika makala ya wanawake wiki hii tunatupia jicho wanawake wa Misri na kushiriki kwao katika harakati za mapinduzi.

Wanawake Jan 31 2012

download iconDownload: MP3

Right click (Control click for Mac) and choose Save Link/Target As

Mamia walijitokeza mjini Cairo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Hosni Mubarak