Accessibility links

Rais wa zamani wa Afrika Kusini azikwa Qunu

Rais wa kwanza muafrika wa Afrika Kusini Nelson Mandela amezika Jumappili katika kijiji cha Qunu jimbo la Cape Mashariki. Maziko yake yanafikisha mwisho siku kumi ya maombolezi ya shujaa wa ukombozi wa nchi yake.
Show more

Maafisa wa jeshi waweka picjha ya bendera ya Afgrika Kusini juu ya jeneza la rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ilipogika kwa ibada ya maziko huko Qunu, Afrika Kusini  Dec. 15, 2013. 
1

Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini (pili kushoto), mke wa zamani wa Nelson Manddela Winnie Mandela (kushoto), na mjane wa Mandela, Graca Machel (3rd L), wamekaa mstari wa mbele karibu na jeneza la Mandela  wakati wa ibada ya maziko huko Qunu, Afrika Kusini   Dec. 15, 2013.
2

Graca Machel, mjane wa rasi wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela, ahudhuria ibada ya mazishi iliyohudhuriwa na watu 4 500 huko Qunu, Afrika Kusini, Dec. 15, 2013. 
3

Winnie Madikizela-Mandela, kulia, mke wa zamani wa Nelson Mandela, na mjane wake Graca Machel, katikati, watembea pamoja kutoka ibada ya maziko huko Qunu, Afrika Kusini, Dec. 15, 2013.
4

Load more

XS
SM
MD
LG