Accessibility links

Boti ya wahamiaji yazama katika ufukwe wa Lampedusa, Italy

Wahamiaji kadhaa wamepoteza maisha katika kisiwa cha Lampedusa baada ya boti yao kuzama.
Show more

Wahamiaji waliokolewa wakiwasili na boti katika ufukwe wa Lampedusa.
1

Mwanamke akipata msaada katika hospitali ya Palermo Civico baada ya kuokolewa katika kisiwa cha Lampedusa nchini Italy.
2

Miili ya wahamiaji waliozama ikiwa katika bandari ya Lampedusa.
3

Miili ya wahamiaji ikiwa imelazwa katika bandari ya Lampedusa.
4

Load more

XS
SM
MD
LG