Accessibility links

Filamu na wasani waloteuliwa katika tuzo ya 86 ya Oscar

Filamu na wasani waloteuliwa kuweza kushinda tuzo mashuhuri ya Academy Awards, Oscar, kwa 2014 walitangazwa Alhamisi mjini Los Angeles, California.
Show more

Washindi wa "Academy Awards," inayofahamika zaidi kwa jina la  "The Oscars," watapokea tuzo hii ya sanamu ndogo katika sherehe zitakazo fanyika mwezi Machi mjini Los Angeles, California. (Oscars.org)
1

Mcheza filamu Chris Hemsworth (kushoto)  na rais wa Academy Cheryl Boone Isaacs wakitangaza waloteuliwa kwa ajili ya tuzo za kila mwaka za 86 za Academy Awards katika ukumbi wa michezo wa taasisi hiyo ya iSamuel Goldwyn Theater, Jan. 16, 2014, Los Angeles, California. (Oscars.org)
2

“12 Years a Slave”  ni moja ya filamu zilizoteuliwa kwaajili ya sinema bora ya mwaka. (Oscars.org)
3

Mchezaji Sandra Bullock ameteuliwa kama muigizaji mwanamke bora wa mwaka kwa kucheza katika filamu ya "Gravity." (Oscars.or
4

Load more

XS
SM
MD
LG