Accessibility links

Matukio ya siku duniani katika picha

Show more

Takriban wafanyakazi 50,000 wahudhuria mkutano wa hadhara mjini Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, wakidai nyongeza za mishahara na kufutiliwa mbali mfumo wa kupeleka ajira nje ya nchi. 
1

Manyakazi wa uwokozi akiongoza lori za uwokozi zilizojipanga kwa mstari kuchukua karibu magari 100 yaliyohusika katika mlolongo wa ajali iliyotokea wakati mmoja, kutokana na ukungu asubuhi wakati wa kwenda kazini kwenye daraja la Sheppey kwnye mji wa Kent, mashariki ya  London.Watu wanane walijeruhiwa vibaya sana na darzeni kujeruhiwa katika ajali hiyo ya pamoja. Sept 5 2013
2

Mwanajeshi na raia wanatizama picha iliyochorwa ukutani inayowaonesha mwandishi habari wa Uholanzi Judith Spiegel (kati) na mwenzake Boudewijn Berendsen walotekwa nyara Sana'a, Yemen. Marafiki hao wawili walitekwa nyara kati kati ya June na wangali wanashikiliwa mateka.
3

Mtu anasimama juu ya nyangumi katika kijiji cha pwani cha Kokrobite, nje ya mji mkuu wa Accra, Ghana.
4

Load more

XS
SM
MD
LG