Accessibility links

Gasia nchini Sudan Kusini.

Show more

wafanyakazi wa WFP wakipakua msaada wa vyakula kutoka eneo la umoja wa mataifa ambako watu wengi waliokoseshwa makazi wamehifadhiwa.
1

mwanamke aliyekoseshwa makazi akitembea na box la chakula akiwa amebeba kichwani kutoka kituo cha umoja wa mataifa mjini Juba.
2

mwanamke aliyekoseshwa makazi akitembea na box la chakula akiwa amebeba kichwani kutoka kituo cha
umoja wa mataifa mjini Juba.

Picha ya mwanamke aliyekoseshwa makazi akiwa katika harakati za kutengeza chakula kwenye uwanja wa umoja wa mataifa alikochukua hifadhi
3

familia kadhaa ya watu walikoseshwa makazi katika kambi ya sudan kusini ndani ya jengo la UNMISS huko jabel katika ukanda wa juba.
4

Load more

XS
SM
MD
LG