• Wazimbabwe wakisubiri kupiga kura ya urais na bunge mjini Harare Julai 31, 2013.
  • Wazimbabwe wakisubiri katika mstari kupiga kura zao kwenye mji wa Mbare nje kidogo ya Harare.
  • Mtu mmoja akifuatilia zoezi la upigaji kura katika basi la kampeni la rais Robert Mugabe karibu na kituo cha kupigia kura kwenye mji wa Harare.
  • Wazimbabwe wakiwa kwenye mstari kusubiri kupiga kura kwenye mji wa Morondera.
  • Mmoja wa wapiga kura akipiga kura yake.

  Uchaguzi mkuu wafanyika Zimbabwe.

  Published July 31, 2013

  Wazimbabwe wamepiga kura katika hali ya utulivu .