Wabunge wavutana makoti ndani ya bunge Tanzania

  Published September 06, 2013


  Kwa mara ya kwanza jkatika histioria ya Tanzania wabunge wavutana makoti waklati wa mjadala juu ya mswada wa sheria kuruhusu kufanyika marekebisho na mabadiliko ya katiba.

  1

  Wabunge wasimama ndani ya bunge la Tanzania kabla ya kuzuka vurugu alhamisi

  2

  Mabishano yapamba moto ndani ya bunge la Tanzania Dodoma siku ya alhamisi, Sep. 5 2013

  3

  Wabunge wa tanzania wavutana mashati bungeni

  4

  Vurugu latokea bungeni Tanzania wajumbe wa CHADEMA wajadiliana

  5

  Vurugu latokea bungeni Tanzania mbunge Mbilinyi avutwa koti

  6

  Vurugu latokea bungeni Tanzania mbunge Mbatia apigwa na butwa

  7

  Vurugu lazuka bungeni Tanzania mbunge Mbilinyi apigania microphone

  8

  Vurugu latokea bungeni Tanzania mbunge Mbilinyi atolewa nje ya bunge

  9

  Vurugu lazuka bungeni Tanzania mbunge Mbilinyi