• Mwanamke anatembea katika hali ya baridi kali mjini Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
  • Mtu akitembea katika moshi wa baridi unaotokea katika Ziwa Michigan huko Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
  • Matt Frame akiondoa barafu kutoka katika gari kwenye kiwanda cha magari cha Ray Laethem Buick-GMC huko Detroit, Michigan, Jan. 6, 2014.
  • Wasafiri wakiwa wamejikusanya kwenye taa zenye joto katika moja ya njia maarufu za Chicago "El" huku wakipigwa na upepo wa baridi kali, Jan. 6, 2014.
  • Wenda kwa miguu katika mtaa mmoja wa mjini Chicago.
  • Muda na digrii za nyuzi joto mjini Lawrence, Kansas, Jan. 6, 2014.
  • Daryl Daugherty akisafisha theluji mbele ya nyumba yake huko Carmel, Indiana, Jan. 6, 2014.
  • Mtu amejifunika uso kwa nguo nzito wakati anatembea mjini Springfield, Illinois, Jan. 5, 2014.

  Baridi kali kuwahi kutokea Marekani

  Published January 07, 2014