• wafanyakazi wa WFP wakipakua msaada wa vyakula kutoka eneo la umoja wa mataifa ambako watu wengi waliokoseshwa makazi wamehifadhiwa.


 • mwanamke aliyekoseshwa makazi akitembea na box la chakula akiwa amebeba kichwani kutoka kituo cha
  umoja wa mataifa mjini Juba.
 • Picha ya mwanamke aliyekoseshwa makazi akiwa katika harakati za kutengeza chakula kwenye uwanja wa umoja wa mataifa alikochukua hifadhi
 • familia kadhaa ya watu walikoseshwa makazi katika kambi ya sudan kusini ndani ya jengo la UNMISS huko jabel katika ukanda wa juba.
 • Ujumbe wa umoja wa mataifa sudan kusini wanahamisha wafanyakazi katika uwanja wa kimataifa wa juba kwenda karibu na uganda.

  The United Nations Mission in South Sudan relocates non-critical staff at Juba international airport to neighboring Uganda, Dec. 22, 2013. (UNMISS)
 • Sudan People's Liberation Army (SPLA) soldiers ride in a truck in Juba, Dec. 21, 2013.
 • mwanajeshi wa SPLA akiendesha gari huko Juba.

 • UNMISS Force Commander Maj. Gen. Delali Sakyi lays flowers on the coffins of his two colleagues who were killed two days earlier, Dec. 21, 2013.
 • wanaume waliokoseshwa makazi wakiwa ndani ya uwanja wa UNMISS katika mji wa Juba.

 • vijana waliokoseshwa makazi wakiwa wamesimama karibu na uzio ndani ya uwanja wa UNMISS huko Juba.

 • wafanyakazi wa afya wa umoja wa mataifa wakiwasaidia raia wa sudan kusini .

Gasia nchini Sudan Kusini.

Published December 24, 2013