Wafuasi wa Morsi wakaidi utawala wa dharura Misri

Wafuasi wa Morsi na polisi wa kupambana na ghasia wakusanyika nje ya mskiti wa al-Fath kwenye uwanja wa Ramses Cairo, August 17, 2013.

Polisi wa Misri akiwa na silaha anajiweka sawa mbele ya mskiti wa al-Fath mosque kwenye uwanja wa  Ramses mjini Cairo, Ogusti 17, 2013.

Polisi walikuwa wanashika zamu ndani ya chumba kimoja ndani ya mskiti wa al-Fath wakati wafuasi wa rais aliyeondolewa madaerakani President Mohamed Morsi wakipambana na vikosi vya usalama nje ya mskiti huo mjini Cairo, Aug.t 17, 2013

Polisi anajipanga wakati wa mapambano na wafuasi wa rais wa Misri aliyepinduliwa Mohamed Morsi ndani ya mskiti wa al-Fath Cairo, August 17, 2013.

Mwanachama wa Muslim Brotherhood akipiga makelele baada ya kujeruhiwa mbele ya kituo cha polisi cha Azbkya wakati wa mapambano kwenye uwanja wa Ramses, Cairo, August 16, 2013.

Raia wa Misri wamelala chini baada ya kujeruhiwa kutokana na mapambano kati ya vikosi vya usalama na wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Morsi kwenye uwanja wa Ramses Square, Cairo, August 16, 2013.

Supporters of ousted Egyptian President Mohamed Morsi gather in Cairo, August 16, 2013.

A supporter of deposed Egyptian President Mohamed Morsi shouts slogans during a protest outside Al-Fath Mosque in Ramses Square, Cairo, August 16, 2013.

Supporters of deposed Egyptian President Mohamed Morsi shout slogans and wave Egyptian flags during a protest outside Al-Fath Mosque in Ramses Square, in Cairo, August 16, 2013.

Supporters of Egypt's ousted President Mohamed Morsi carry a coffin, covered with a national flag, of a protester who was killed during Wednesday' clashes in Cairo, August 16, 2013.

Supporters of deposed Egyptian President Mohamed Morsi take part in a protest near Ennour Mosque, Cairo, August 16, 2013.

A soldier holds his weapon as he stands on an armored personnel carrier positioned outside the state-run television station in Cairo, August 16, 2013.

Egyptian army soldiers take their positions at an entrance to Tahrir Square, Cairo, August 16, 2013.

A man who lost relatives in recent violence stands near a list of names of dead members of the Muslim Brotherhood and supporters of deposed Egyptian President Mohamed Morsi at El Eyman mosque in Cairo, August 16, 2013.

A man walks through debris from what is left of burned vehicles outside the Rabaah al-Adawiya mosque, Cairo, August 16, 2013.

Abandoned shoes and a tea glass, belonging to supporters of ousted Egyptian President Mohamed Morsi, remain on a wall outside the Rabaah al-Adawiya mosque, Cairo, August 16, 2013.