6
Trailer lililopakisa vicha vya lori linanig'inia kwenye daraja huko Kaili, jimbo la Guizhou , China, Oct. 21, 2013. Kufuatana na vyombo habari vya eneo hilo ni kwamba trailer hiyo ilikaribia kuanguka baada ya dereve kupoteza udhibti wa gari , hakuna aliyejeruhiwa.